Tuesday, 18 February 2014

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KALENGA CHADEMA AREJESHA FOMU



 Grace Tendega akimkabidhi Pudenciana Kisaka Msimasimizi uchaguzi wilaya Iringa fomu za ugombe ubunge kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo alipolejesha katika ukumbi wa siasa ni kilimo.
 Mnyalu.
 Msimamizi wa uchaguzi wilaya  Pujenciana Kisaka akimpongeza Grace Tendega kwaku kamilisha zoezi la kuludisha fomu za ugombea Ubunge jimbo la kalenga.
 Wanacha wa Chadema waliomsindikiza Mgombea wao kuludisha fomu katika ofisi za msimamizi wa uchaguzi wilaya ya Iringa.





Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment