Monday 17 February 2014

GRACE TENDEGA MGOMBEA UBUNGE KALENGA ACHUKUA FOMU


 Akisaini kitabu katika ofisi ya Chama chake.
 Awasili ofisi za Halmashauri ya Wilaya Iringa
 Baadhi ya viongozi na wanachama wa chadema wakimsindikiza Mgombea wao.

 Ndani ya ukumbi wa siasa ni kilimo
 Msimamizi wa uchaguzi wilaya Iringa  Pudenciana Kisaka akitoa maelekezo kabla ya kukabidhi fomu
 Katibu wa chadema manispaa Iringa Semgonukulima akijitambulisha ukumbini.


Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment