Thursday 6 February 2014

MKURUGENZI MANISPAA YA IRINGA ALONGA,



Wakati wafuasi na wapenzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakishangilia  dhamani aliopewa Mchg,Peter Msigwa (MB)wa  Jimbo la Iringa mjinikatika mahakama ya wilaya Iringa.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa Teresia Mahongo amebainisha wazi kuwa ratiba ya mikutano ya kampeni za udiwani ipowazi na ilipangwa ofisini kwake kwa kushirikiana na vyama vyote pia ikapelekwa Polisi.
Hivyo tarehe  tano Januali Chadema walikuwa na mkutano wa kampeni kijiji cha Igungandembwe kata ya Nduli nasio Nduli hata ccm hawakua naratiba yamkutano anashangaa kuona wafuasi wa vyama hivyo wamekutana na kuzusha vurugu wakati yeye hajui kilicho wasibu
Mnyalu. 
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment