Monday 24 February 2014

MVUA ZASABABISHA MADHARA MAKUBWA BARABARA RUPINGU - LUDEWA


,MBUNGE AKWAMA KUFANYA ZIARA ASHINDA AKIFUNGUA BARABARA


Mbunge wa  Ludewa Deo Filikunjombe akitazama sehemu ya barabara ya Rupingu - Ludewa  inayoporomoka kutokana na mvua  kubwa  zinazoendelea  kunyesha  chanzoWananchi na  msafara  wa  mbunge  wa  jimbo la Ludewa  Deo Filikunjombe wakifungua barabara ya  Rupingu -Ludewa  iliyofunikwa na kifusi baada ya mvua kubwa  kunyesha kwa zaidi ya wiki moja mfululizo sasa barabara  hiyo  ipo katika matengenezo makubwa na TANROADS mkoa wa Njombe kwa kutegewa kiasi cha Tsh milioni 400 francgodwinblog.
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment