Friday 28 February 2014

WASHIRIKI MAISHA PLUS LEKEBISHA IKIJIJNI IGULA


 Moja ya kazi walizo zifanya washiriki maisha plus lekebisha kijijini Igula kata ya kihorogota tarafa ya Isimani wilaya ya Iringa. ni uchimbaji wa choo katika Shule ya Msingi Igula.
 Franck Banda Mkurugenzi wa Usanifu Maisha Plus akiongea na mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Igula wakati vijana wakiendelea na kazi
Mmoja wa washiriki Maisha Plus lekebisha akimsaidi kufunga kiatu muandishi wa Kwanzajamii Matha Magessa alipo watembelea kijijini kwao Igula.
Mnyalu.
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment