Sunday 9 February 2014

Semina ya uongozi wa dini juu ya Tiba kwa Kadi (TIKA)




picha_1_0e41b.png
Dkt. May Alexander, Mganga mkuu wa Manispaa ya Iringa akiwakaribisha viongozi wabdini katika semina ya viongozi wa dini wa Manispaa ya Iringa iliyofanyika kwenye ukumbi wa Manispaa ya Iringa
22_a1d83.png
Hawa ni baadhi ya viongozi wa Dini mbalimbali wa Manispaa ya Iringa
3_2_6a392.png
Theresia Mahongo, Mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa akifungua semina hiyo
Picha na Mnyalu  
Maelezo ya Picha  Martha 
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment