Saturday 15 February 2014

UNYWAJI WA MAZIWA NA TAHADHARI ZAKE


 Viwango vinavyo pendekezwa kimataifa na shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) nalile la Chakura na Kilimo (FAO)nilita 200 kwa mtu mmoja kwa Mwaka ambazo kwahapa Africa Mashariki na kati ni Kenya wanao kunywa lita 140. 
Kwakuzingatia idadi ya watanzania wote takwimu za WHO zinaonyesha kuwa wa Tanzania wanatakiwa kunywa Maziwa lita 200,000/=kwamwaka lakini kwa sasa wanakunywa lita 43,000 tu kwa mwaka mzima.
FAIDA ZA KUNYWA MAZIWA .
Maziwa yana virutubisho vyote muhimu kwa ujenzi wa Afya ya binaadamu kama vile madini,vitamini,protini ,sukari ya asili ainaya lactose na maji.Virutubisho hivo vimo katika uwiano mzuri na hivyo vina imarisha mifupa ,meno,utendaji wa misuri,mishipa ya damu na kufanya kazi zingine Maziwa pia ya kiasi kidogo cha madini ya sodium na potassium ambayo yana umuhimu mkubwa katika kumpatia mtu kiwango kizuri cha shinikizo la damu (helth blood presser)

 TAHADHARI YA UNYWAJI  MAZIWA.
Unywaji wa maziwa unafaida nyingi ,lakini ufanyike kwa tahadhari. unywaji maziwa kwawingi yenye mafuta (cream)unaweza kuongeza uzito kupita kiasi na wingi wa lehamu(cholesterol) Athari ya unywaji huo inaweza kuwa kubwa kwa watu wanao ishi bila kufanya mazoezi au kazi za kutoka jasho.kama mtu atapata maziwa yalio ondolewa mafuta au yenyemafuta kidogo anashauriwa kunywa nusu lita kwa siku ilikufikia kiwango kilicho pendekezwa na WHO na FAO.
(Chanzo Mwananchi)
Mnyalu.   





Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment