Samaki wanazidikuwa haba katika bwawa la mtera kila kukicha mfano nihuu imewabidi wavuvi sasa kuanza kazi za kilimo cha malimbichi kando ya bwawa la mtera na akina mama kuanza uuzaji mahindi ya kuchemsha
na Matikiti maji.
Perege sasa ni adimu bwawa la mtere
Matikiti toka katika bustani zinazo limwa kando ya bwawa la mtera yaki shushwa kijijini Migoli tayali kuwauzia walaji.
Picha n Mnyalu.
No comments:
Post a Comment