Saturday 1 February 2014

WARSHA YA MAREKEBISHO YA RASIMU YA KATIBA,




 Mh Jaji mkuu mstaafu  Raymondi Mwaikasu akifungua warsha ya marekebisho ya katiba iliyofanyika leo katika ukumbi wa Hilltop mjini Iringa.
 Washiriki wa warisha hiyo kutoka kata mbali mbali za  Iringa vijijini


  Mh Erick Nyato Mkurugenzi wa Idara ya ya mafunzo na utafiti akitoa mrejesho wa mapendekezo na maoni ya kikao kilichopita.
 Mkurugenzi mkuu Mh John Msika akitoa mapendekezo katika mchakato huo wa marekebisho ya katiba
 Mkugenzi ya idara ya msaada wa sheria na haki za binadamu Mh Jakson Chaula
Mshiriki Alex Mwita akitoa mchango katika warsha hiyo
 Mensoni Mkwawa kaimu mtendaji kata ya Ifunda akiwakilisha mchango wake
Mh Jaji mkuu  mstaafu Raymond Mwaikasu akihitimisha warsha hiyo ya mchakato wa katiba

PICHA ZOTE NA MNYALU
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment