Monday 17 March 2014

CCM YAIBUKA KIDEDEA JIMBO LA KALENGA



Mgombea Ubunge Jimbo la Kalenga kupitia CCM ameshinda kwa 79% dhidi ya Mpinzani wake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Grace Tendega ambae amepata 20 % Chausta 0.5% ya kura kwajumla katika Jimbo hilo.
CCM wamepata jumla ya kura 22,714 ya kurazote wakati Chadema ikipata kura 5800 na Chausta kura 143.Picha na Mnyalu. 
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment