Friday 14 March 2014

MBIO ZA KUUTAFUTA UBUNGE KALENGA HATIMA YAKE KESHO TAR 16 MACH 2014



Mchakato wa kampeni za Ubunge Jimbo la Kalenga kati ya mgombea wa CCM na CHADEMA utafikia mwisho wake kesho wakati Wapiga kura Jimbo la kalenga watakapo amua nani ndie Mbunge wao kwa kipindi kilicho baki 2014-2015
Picha na Mnyalu
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment