Tuesday 11 March 2014

MKUTANO WA KAMPENI UGOMBEA UBUNGE KALENGA CHADEMA.


 Godbles Lema Mbunge Arusha Mjini na Grace Tendega Mgombe Ubunge Jimbo la Kalenga waki punga mikono kwa wananchi wa Kijiji cha Mgama waliofika mkutanoni hapo baada ya kutua na chopa.
 Mbunge wa Arusha Mjini Godbles Lema akiongea na wana Mgama katika Mkutano wa kampeni za Ugombea Ubunge jimbo la Kalenga mwanzoni mwa wiki huku akimnadi mgombea Grace Tendega wa Chadema.
 Mgombea Ubunge jimbo la Kalenga Grace Tendega akiongea na wananchi wa Kijiji cha Mgama katika mkutano wa Kampeni huku akiombakura iliwamchague siku ya tar 16,Mach 2014
Chopa ikiondoka uwanja wa Mgama baada ya Mkutano Pichana Said Ng'amilo
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment