Saturday 8 March 2014

SIKU YA WANA WAKE DUNIANI YAFANA MANISPAA YA IRINGA


 Maandamano ya wanawake kikundi cha Mtandao wa Polisi Iringa
 Mkuu wa Wilaya Iringa Dr Walioba akipokea moja ya Zawadi kutoka kwa muwakirishi wa kikundi cha akina Mama Magereza katika Sherehe za Siku ya Wanawake aliodhimisha viwanja vya Mwembetogwa Iringa
 Moja ya Zawadi zilizo tolewa kwa watoto ya Tima Mkuu wa Wilaya akipokea Branketi kwa ajili ya kuwatuza watoto yatima katika vituo mbalimbali hapa Mkoano 
picha na Mnyalu
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment