Thursday, 3 April 2014

BAJAJI ZIKIWA ZIMEEGESHA KATIKA OFISI YA CHAMA CHA BAJAJI NA BODABODA


 Shutuma zilizotolewa na waendesha Daladala  zitokazo M.R kwenda Don Bosco,Mkwawa na Itamba yakuwa Bajaji hizo husafirisha abilia kwa mtindo wa Daladala na si kwa kukodiwa kitendo kinacho wapa ugumu wa Biashara waendesha Daradala.
Mwenyekiti wa Chama cha Bodaboda na Bajaji akiongea na waandishi kujibu shutuma dhidi ya waendesha Bajiji kutoka kwa madereva wa Daladala na kubainisha kuwa chanzo mpango mbovu wa Sumatra Mkoa wa Iringa hakuna maelekezo mazuli.Mnyalu.
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment