Mh Peter Msigwa akiongea na wananchi wa Jimbo la Iringa Mjini katika eneo la stendi ya mabasi Mlandege manispaa ya Iringa jana baada ya kuwasiri mkoani hapa akitokea Dodoma katika vikao vya Bunge maalum la katiba.
awali ya yote Mh Msigwa aliongelea suala la uchaguzi wa Kalenga na changamotozake kisiasa kati ya Chadema na CCM chama tawala. akigusia matumizi ya vyombo vya usalama kufuatia matukiombalimbali yalio tokea katika harakati za kampeni na kuonyakuwa havikustahili katika nchi yetu inayoelekea katika Demokrasia ya vyamavingi na adhima ya Utawala bora.
Abuu Changawa katikati pichani akisaidiana na Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Iringa kushotokwake kuhesabu Pesa ya Mchango waliochanga wananchi walio hudhuria katika mkutano huo.
Wanachama na wapenzi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo wakimsalimia Mh Peter Msigwa baada ya Mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la Stendi ya Mabasi Mlandege Manispaa ya Iringa
Mnyalu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment