MH DIWANI KITANZINI AKIPITIA JARIDA LA ILANI YA CHAMA
Mh Diwani akipitia kwa makini sera za CCM na jinsi zilivyo tekelezwa na Serikari katika eneo lake kwa mpamgo wa maendeleo toka 2010-2015 alipo hutubia wananchi katika kata yake nje ya ukumbiwa mikutano Jengo la Maendeleo Manispaa ya Iringa.
No comments:
Post a Comment