Saturday, 31 May 2014

WAJUMBE WA KAMATI YA SIASA YA KATA YA KITANZINI MIYOMBONI WAKISIKILIZA MKUTANO


Baadhi ya wajumbe wa kamati ya Siasa kata ya Kitanzin wakimsikiliza kwa makini Mh Jesca Msambatavangu alipo kuwa akiongea na wananchi wa katayake Juu ya Utekelezwaji Sera za CCM na Serikali ya Chama cha Mapinduzi kwamuda wa 2010-2015. pamoja na changamotozake. akizungumza Mbele ya Wajumbehao akiwaambia wananchi jinsi serikali ilivyo tekeleza baadhi ya mambo si kwaumuhimu wake tu ila kutokanan na halihalisi ya uwezo uliopo wa serikali kwani kuna mengi yanasubili kutekelezwaji ikiwa ni kwakuzingatia huduma za wananchi kwaujumla. 
Mnyalu.   
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment