Saturday, 3 May 2014
MH GODFRAY MGIMWA AKABIDHI VIFAA VYA UJENZI KALENGA.
Mh. Godfray Mgimwa pichani katikati wakipeana mikono na Mwenyekiti wa Kijiji cha Mibiki mitali akimkabidhi bati Hamsini kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya mwalimu katika Shule ya Msingi Mibiki mitali mchangohuo ni moja ya Jumla ya Bati 460 alizozitoa katika vijiji vya Kiwere,Itagutwa,Ibumila,Katenge, Isupilo,Muwimbi na Mibikimitali, kwaajili ya ujenzi wa Shule na Zahanati katika Jimbo la Kalenga Wilayani Iringa wakati wa ziara yake ya kuwashukuru wananchi kwakumchagua..Mnyalu.1
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment