Sunday, 4 May 2014

KUMBUKUMBU TULIYONAYO YA MAREHEMU MZEE FROLIAN FILIKUNJOMBE




Marehemu Mzee Frolian Filikunjombe wakati wa uhai wake pichani aliyevaa shati jeupe na vazi la majini, tukiwa katika ziara ya jimbo la Ludewa mwambao wa ziwa Nyasa pamoja na mwanae Mheshimiwa Deo Filikunjombe.
 Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Ludewa Mzee Haule kushoto akiwa na Marehemu Frolian Filikunjombe wakivaa viatu kando ya ziwa Nyasa baada ya kushuka katika boti, wakati wa ziara 2012.
 Marehemu Mzee Frolian Filikunjombe kulia, akiwa na mwanae Mh. Deo Filikunjombe wakati wa ziara yake jimbo la Ludewa. Marehem Mzee Frolian Filikunjombe anatarajiwa kuzikwa mjini Ludewa tarehe 6/5/2014 jumaanne. Sote ni wa Mungu na kwake tutarejea

Mnyalu


Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment