MB Peter Msigwa akimsalimia Dada wa Marehemu Gervas Kalolo nyumbani kwa marehemu alipo wasili kushiriki mazishi.Mnyalu
RATIBA YA MAZISHI YA MAREHEMU
GERVAS JOHN KALOLO
ALHAMISI : TAREHE 8/5/2014
A: NYUMBANI
MUDA
|
TUKIO
|
MHUSIKA
|
1.30 – 2.00
|
CHAI
|
WOTE
|
2.00 – 3.00
|
MWILI KUWASILI
|
KAMATI
|
3.00 – 5.00
|
WAGENI KUWASILI
|
KAMATI
|
5.00 – 6.30
|
CHAKULA
|
WOTE
|
6.30 – 7.30
|
KUTOA HESHIMA ZA MWISHO
|
WOTE
|
7.30 – 8.00
|
KUELEKEA KANISANI
|
WOTE
|
8.00 – 9.30
|
IBADA
|
KAMATI/UONGOZI WA KANISA
|
9.30– 10.00
|
KUELEKEA MAKABURINI
|
WOTE
|
B: MAKABURINI
MUDA
|
TUKIO
|
MHUSIKA
|
10.00 – 10.30
|
IBADA YA MAZISHI
|
WOTE
|
10.30 – 10.45
|
KUWEKA MASHADA
|
KAMATI
|
10.45 – 11.15
|
WASIFU
|
WALIO ANDALIWA
|
11.15 – 11.30
|
MATANGAZO NA NENO LA SHUKRANI
|
KAMATI/ ALIYEANDALIWA
|
No comments:
Post a Comment