Saturday 3 May 2014

WAENDESHA BODABODA NA BAJAJI IRINGA WAHOFU KAMATA KAMATA ISIO RASMI.


Madereva wa Bajaji na Bodaboda Manispaa ya Iringa wakimsikiliza Mwenyekiti wao Mwambombe Joseph katika mkutano wao wa dharula katika uwanja wa Mwembetogwa  kwasababu ya matukio ya kukamatwa kwa makosa yasio eleweka kisheria na kulazimishwa kukaa vituo visivyo na tija kwao vilivyo nje yamji  na kuazimia wawe na mshikamano kwa lolote ili kudai hakizao Mnyalu
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment