Saturday 3 May 2014

SIKU YA HABARI IRINGA WANAHABARI WAFANYA USAFI.


 Waandishi wa Habari manispaa iringa wakishiriki kazi ya kuzoa taka katika Daampo la Ilala ziende kutupwa mbali na makazi katika kuadhimisha Siku ya Habari ilio fanyika kitaifa Arusha. Mnyalu.
 Muandishi Janeth Matondo alie inama kikazi zaidi akizoa taka katika Jalala ili zika mwagwe Mbali na Makazi ya watu
Katibu wa Iringa Prees Clabuakishiriki kazi ya kuzoa taka
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment