Tuesday 23 September 2014

MBUNGE JIMBO LA ISIMANI ATOA JEZI KWA VETERANI PAWAGA


Thom Malenga katibu ofisi ya Mbunge Jimbo la Isimani akikabidhi Jezi kwa Said Ng'amilo katibu wa Veterani Pawaga kwaajili ya Michezo yao ya Nani Mtani Jembe wenye mapenzi na Simba na Yanga
    Tarafa ya Pawaga awali tar 10 sept 2014 Yanga waliibuka kidedea dhidi ya Simba kwa Magoli 4-3
mchezo mwingine unatarajia kuchezwa tar 30 Sept.katika uwanja wa Itunundu Pawaga.
Mnyalu..
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment