Tuesday 23 September 2014

VETERANI PAWAGA WAPATIWA JEZI ZA MICHEZO


Mh Wiliamu Lukuvi Mbunge wa Jimbo la Isimani ametoa Jezi seti 2  kwa timu ya Veterani Pawaga ikiwa ni mchango wake kuhimiza michezo katika Jimbolake Pichani Kulia katibu wa ofisi ya Mbunge Thom Malenga akimkabidhi Jezi Said Ng'amilo Katibu wa Timu ya Veterani Pawaga zenye thamani ya laki mbili elfu za Tanzania.Mnyalu.
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment