Thursday 21 May 2015

UMMY SAID NG'AMILO AGUNDULIKA ANA MARADHI YA KANSA YA DAMU.


Ummy Said Ng'amilo aliakaa kitandani na Dada yake Johari alie simama  akiwa kalazwa wodi (A1)iliopo jengo la Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili kabla hajahamishiwa wodi ya Upendo kwa uchaunguzi zaidi.nasasa baada ya Uchunguzi kipimo cha Damu kimeonyesha ana Kansa ya Damu na anatarajia kuanzishiwa matibabu hivipunde. Familia nzima ya Said Ng'amilo na Ndugu wote tunamshukuru Mungu kwa matokeo hayo ya uchunguzi kupitia kwa Waganga wote walio mshughulikia Mtoto wetu. tunaomba mungu afanikishe na matibabu yake Amina.Mnyalu
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment