Tuesday, 2 June 2015

AJARI MAKUTANO YA RELI NA BARABARA BUGURUNI DSM.


Gari aina ya Scania T507AVW limegonga Treni la mizigo lenye namba 7321 leomchana katika eneo la Buguruni makutano ya Barabara ya Mandela na Leli nakusababisha uharibifu wa Tela la Gari hilo pamoja na Kichwa cha treni kwakuacha njia na kupinduka Mnyalu.
Anonymous
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment