Monday, 8 June 2015

LEO NIMEAGANA NA WAFANYAKAZI WA MCL DAR ES SALAAM


Mpigapicha wa Gazeti la Mwananchi Iringa Said Ng'amilo aliesimama pichani akiongea na wafanyakazi wa mwananchi akiwaaga na kuwashukuru kwa ushirikiano wao wakati akiuguza mwanae alie fariki Dunia hivi karibuni akipatiwa matibabu hospitali ya Taifa Muhimbili akisumbuliwa na Mradhi ya Moyo na Saratani ya Damu.Mazishi yalifanyika makaburi ya Jumuiya ya Waislamu Ahmadiyya Temeke wailesi Dar es Salaam. Mnyalu
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment