RAMBI LAMBI.
Mwenyekiti wa Chama cha wapigapicha Iringa Thobiasi Kikula akiongea na wapigapicha walioambatana nae kufika msibani nyumbani kwa katibu wa Chama cha wapigapicha Iringa Said Ng`amilo aliepatwa na msiba wa mwanae hivikaribuni na kumzika Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment