TUMEFIKA NYUMBANI KIJIJINI LUGANGA KUWASALIMU WAZAZI HASA KUFARIJIANA
Pichani katikati Mama mzazi akiwa na wanae Said na Tunu walipofika nyumbani kwake kumjuliahali pamoja na kumfariji baada juu ya Msiba wa Mjukuu wake Ummy Said Ng`amilo aliefariki hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment