Thursday 16 July 2015

TUNAKUSIKILIZA


Mratibu wa Shirika la TAGRODE  Zuberi Mwachula akiongea na wanakijiji cha Ilalasimba kata ya Nzihi Wilaya ya Iringa katika mkutano wa pamoja na wafadhiri waliofanikisha upimaji aridhi na kupata Hati miliki za kimila kwa kutumia Simu ya Mkononi. sambamba na uelimishwaji sheria ya kumiliki aridhi
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment