Thursday, 16 July 2015
TUNAWASHUKURU
Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Ilalasimba kata ya Nzihi wilaya ya Iringa na viongo toka mashirika ya sio ya Kiserikali katika picha ya pamoja baada ya kupata Hati miliki za kimila 940 zilizo tolewa kwao kutokana na Mradi wa Mast. Tecknologia ya Upimaji aridhi kwa kutumia Simu ya Mkononi ikiwa ni Mradi wa kwanza kwamajalibio Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment