Sunday 9 August 2015

NAHAMA CHADEMA NAENDA ACT


Chiku Abwao akionge na viongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo Mkoa wa Iringa pamoja na waandishi wa habari juu ya adhima yake ya kujiunga na ACT na kuchukua fomu kutaka ridhaa ya kuwa mgombea Ubunge jimbo la Iringa nakujihakikishia uwezo wake binafsi wa kushinda na kuludi Bungeni.
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment