Sunday 9 August 2015

PICHA MATUKIO MKUTANO WA ACT WAZALENDO.


Katibu wa ACT Wazalendo  Mkoa wa Iringa akihamasisha wananchi wa Manispaa ya Iringa kutamka salamu ya ACT Wazalendo,katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Mwembetogwa uliohudhuriwa na kiongozi mkuu wa kitaifa Zitto kabwe, Sambamba na kuwatambulisha wagombea ubunge,Udiwani wote mkoa wa Iringa kupitia ACT, Katika uchaguzi mkuu Oct,25/2015.
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment