Friday, 25 September 2015

BONANZA LA MICHEZO PAWAGA


 Mkurugenzi wa Shirika la IDYDC Iringa John Nkomo akiongea na wana michezo wa zamani Pawaga Veterani Siku ya Bonanza lililo shirikisha michezo mingi ikiwamo kuvuta kamba,kukimbia mitamia,kupiga Danadana na Mpira wamigu kwa Upenzi wa Simba na Yanga na natokeo Simba 2 Yanga 0.
 Mkurugenzi Idydc Iringa John Nkomo akikabidhi kombe la Ushindi kwa Nahodha wa Veterani Pawaga wapenzi wa Simba Amir Msigala baada ya timu yake kuibika kidedea kwa kuwabwaga wenzao Veterani Pawaga wapenzi wa Yanga kwa mabao 2 kwa 0
 Mkurugenzi wa IDYDC Iringa John Nkomo akitoa zawadi ya Mpira wamazoezi kwa Creython Mbanga Muwakilishi wa Veteraniwa Kijiji Cha Luganga
Muwakilishi wa Veterani Kijiji cha Kimande Abdi Masoud akipokea mpira toka kwa Mkurugenzi wa Idydc John Nkomo kwaajili ya mazoezi
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment