Friday, 25 September 2015

MSAADA WA SARUJI


 Mkuu wa Shule ya Sekondari Lugalo akiongea na wanumoja wa waliohitimu elimu ya Sekondari mwaka 1990 waliofika shuleni hapo na kutoa Saruji mifuko miambili kwa ajili ya ujenzi wa Uzio wa Shule.
 Mweyekiti wa Umoja wahitimu Shile ya Sekondari Lugalo 1990 Faraja Chang`a kulia akimkabidhi Mkuu wa Shule ya Sekondari Lugalo Benjamin Kabungu Simenti mifuko miambili yenye thamani ya Tsh 2,560,000
kwa ajili ya Ujenzi wa Uzio wa Shule.
Picha ya Pamoja wahitimu Sekondari Lugalo mwaka 1990.
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment