Mh Halima Mdee Mbunge wa jimbo la kawe jijini Dar es salaam akiongea na wananchi Iringa Manispaa na Vitongoji vyake.
Mh Mchungaji Peter Msigwa Mbunge wa Jimbo la Iringa mjini akiongea na wananchi na wapenzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo katika viwanja vya Mwembetogwa
Mh Devid Silinde Mbunge wa Tunduma akiwaasa wana Iringa kujiandaa na uchaguzi ujao 2015.
Picha na Mnyalu Iringa.
No comments:
Post a Comment