Wednesday 5 February 2014

Mch PETER MSIGWA (MB ) IRINGA MJINI AFIKISHWA MAHAKAMANI LEO



MH,Peter Msigwa alikamatwa jana jioni na Polisi mkoani Iringa kwa kutuhumiwa kushiriki vurugu za kampeni kati ya wafuasi wa ccm na chadema kata ya Nduli manispaa ya Iringa nakusababisha kiongozi mmoja wa ccm kuumizwa na kulazwa katika hospitali ya rufaa.
Mnyalu.
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment