Sunday, 13 April 2014

BENK YA WANAWAKE TANZANIA YAFUNGUA OFISI MKOANI IRINGA




Mkuu wa Shughuli za Kibenki na Maendeleo ya biasharaYebete Zablon akongea na waandishi wa Habari Mkoani Iringa kuhusu adhima ya TWB kufika mkoani hapo na kuanza shughuli zake za utoaji mikopo yenye asilimia ndogo kwa wafanyabiashara wadogo na wajinsia zote wa Iringa
Picha na Said Ng'amilo.
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment