Hezron Haule wa timu ya Mtwivila City fc Mgongoni Jezi namba 24 akiwalamba chenga wachezaji wa timu ya Bluck Eagle ya Ndiuka wakati wa mchezo wao wa mwisho uliochezwa katika Uwanja wa Samora katika Ligi Daraja la nne ngazi ya wilaya Iringa Mtwivila City iliibuka kidedea kwa magoli matatu kwa bila
Picha na Said Ng'amilo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment