Wednesday, 16 April 2014

UVCCM TANZANIA WAONGOZA MBIO ZA BODABODA NCHI NZIMA.


 Waendesha Bodaboda mkoani Iringa wakielekea kuwapokea viongozi wa mbio za Bodaboda kitaifa kupitia Umoja wa Vijana CCM zinazo fanyika nchi nzima kuuenzi muungano na kutetea uwepo wa serikali mbili  kufuatia mchakato wa kupata katiba. Picha na Mnyalu.
 Kiongozi msemaji mbio za Bodaboda toka UVCCM  Hassani Bomboko akimkabidhi  Mkuu wa Wilaya Iringa Dr Retisi Walioba Picha ya Hayati Shekh Abedi Karume Raisi wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama Ishara ya kumuenzi kwa kuudumisha muungano wa nchi mbili Tanganyika na Zanzibar wakati Uongozi huo ulipo pita mkoani Iringa kufikisha ujumbe kwa vijana na wananchi wote. Mnyalu.   
Katibu wa CCM wilaya ya Mufindi Miraji Mtatulo akiongea na Vijana wa UVCCM pamoja na wananchi  wa Manispaa ya Iringa katika mkutano wa hadhara baada ya mapokezi ya Mbio za Bodaboda zilizofanyika mjini hapo jana zikitokea Mkoa wa Njombe na kuelekea Morogoro hukuzikibeba ujumbe wa Miaka 50 ya M. uungano Dumisha muungano Vijana tutumie fursa zilizopo kwa maendeleo yetu Tanzania kwanza Mengine baadae. Mnyalu.
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment