Saturday 3 May 2014

MH GODFRAY MGIMWA ACHANGIA UJENZI WA SHULE NA ZAHANATI KALENGA



Godfray Mgimwa mbunge wa Jimbo la Kalenga kulia  akimkabidhi  mabati themanini Afisa mtendji wa kijiji cha Muwimbi kata ya Lumuli  Kwaajili ya ujenzi wa bweni la  Sekondari  . mchango huo nimoja ya mabati 460 yanyethamani ya jumla Tsh milioni nane na hamsini elfu aliyotoa katika vijiji vya Kiwere,Itagutwa,Mgama,Ibumila,Katenge,Isupilo,Muwimbi na Mibikimitali katika Jimbo la Kalenge wakati wa ziara fupi ya kushukuru kwa kuchaguliwa kuwa Mbungewao. Picha na Mnyalu.
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment