Saturday, 26 September 2015
Friday, 25 September 2015
BONANZA LA MICHEZO PAWAGA
Mkurugenzi wa Shirika la IDYDC Iringa John Nkomo akiongea na wana michezo wa zamani Pawaga Veterani Siku ya Bonanza lililo shirikisha michezo mingi ikiwamo kuvuta kamba,kukimbia mitamia,kupiga Danadana na Mpira wamigu kwa Upenzi wa Simba na Yanga na natokeo Simba 2 Yanga 0.
Mkurugenzi Idydc Iringa John Nkomo akikabidhi kombe la Ushindi kwa Nahodha wa Veterani Pawaga wapenzi wa Simba Amir Msigala baada ya timu yake kuibika kidedea kwa kuwabwaga wenzao Veterani Pawaga wapenzi wa Yanga kwa mabao 2 kwa 0
Mkurugenzi wa IDYDC Iringa John Nkomo akitoa zawadi ya Mpira wamazoezi kwa Creython Mbanga Muwakilishi wa Veteraniwa Kijiji Cha Luganga
Muwakilishi wa Veterani Kijiji cha Kimande Abdi Masoud akipokea mpira toka kwa Mkurugenzi wa Idydc John Nkomo kwaajili ya mazoezi

MSAADA WA SARUJI
Mkuu wa Shule ya Sekondari Lugalo akiongea na wanumoja wa waliohitimu elimu ya Sekondari mwaka 1990 waliofika shuleni hapo na kutoa Saruji mifuko miambili kwa ajili ya ujenzi wa Uzio wa Shule.
Mweyekiti wa Umoja wahitimu Shile ya Sekondari Lugalo 1990 Faraja Chang`a kulia akimkabidhi Mkuu wa Shule ya Sekondari Lugalo Benjamin Kabungu Simenti mifuko miambili yenye thamani ya Tsh 2,560,000
kwa ajili ya Ujenzi wa Uzio wa Shule.

Picha ya Pamoja wahitimu Sekondari Lugalo mwaka 1990.
Friday, 18 September 2015
Thursday, 10 September 2015
Saturday, 5 September 2015
RC IRINGA ZIARA UKAGUZI WILAYA YA MUFINDI
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Amina Masenza kulia pichani akikagua na kupewa maelekezo ya ujenzi wa Vyoo bora kwa matumizi ya Abiria wanaosafiri barabara ya Dar es salaam Mbeya na fundi Mkuu Afisa wa JWTZ Mfinga JKT, Stanley Nzowa katika eneo la Kijiji cha Idetelo kata ya Mbalamaziwa wilaya ya Mufindi.Iringa.
Monday, 31 August 2015
RATIBA YA KAMPENI JIMBO LA ISIMANI
| RATIBA YA KAMPENI YA MKUU 2015 - JIMBO LA ISIMANI | |||||
| TAREHE | CHAMA | MUDA | KATA | KIJIJI | SHUGHULI |
| 22.08.2015 | CCM | 3:00 – 5:00 | Mahuninga | Isukutwa | Mkutano wa hadhara |
| 6:00 – 8:00 | Mahuninga | Mahuninga | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00 -12:00 | Mahuninga | Mahove | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 3:00 – 5:00 | Mlowa | Mafuruto | Mkutano wa hadhara | |
| 6:00 – 8:00 | Mlowa | Nyamahana | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 6:00 – 8:00 | Kihorogota | Ismani Tarafani | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 -12:00 | Kihorogota | Kihorogota | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 6:00 – 8:00 | Migoli | Makatapola | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 -12:00 | Migoli | Migoli | Mkutano wa hadhara | ||
| 23.08.2015 | CCM | 4:00 – 6:00 | Mahuninga | Makifu | Mkutano wa hadhara |
| 6:00 – 8:00 | Mahuninga | Makambalala | Mkutano wa hadhara | ||
| 9;00 – 12:00 | Idodi | Tungamaenga | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 3:00 – 12:00 | Mlowa | Mlowa | Mkutano wa hadhara | |
| ACT | 6:00 – 8:00 | Malengamakali | Usolanga | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 -12:00 | Malengamakali | Mkulula | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 6:00 – 8:00 | Izazi | Izazi | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 -12:00 | Izazi | Mnadani | Mkutano wa hadhara | ||
| 24.08.2015 | CCM | 4:00 – 6:00 | Idodi | Kitisi | Mkutano wa hadhara |
| 6:00 – 8:00 | Idodi | Mapogoro | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00 – 12:00 | Idodi | Idodi | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 2:00 – 6:00 | Mahuninga | Kisilwa | Mkutano wa hadhara | |
| 7:00 – 12:00 | Mahuninga | Mahuninga | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 6:00 – 8:00 | Nyang'oro | Nyang'oro | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 -12:00 | Nyang'oro | Chamdindi | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 6:00 – 8:00 | Malengamakali | Usolanga | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 -12:00 | Malengamakali | Mkulula | Mkutano wa hadhara | ||
| 25.08.2015 | CCM | 4:00 – 6:00 | Mlowa | Matalawe | Mkutano wa hadhara |
| 6:30 – 8:30 | Mlowa | Mafuruto | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00 – 12:00 | Mlowa | Mtakuja | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 2:00 – 12:00 | Mahuninga | Makifu | Mkutano wa hadhara | |
| ACT | 6:00 – 8:00 | Izazi | Izazi | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 -12:00 | Izazi | Mnadani | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 6:00 – 8:00 | Nyang'oro | Nyang'oro | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 -12:00 | Idodi | Chamdindi | Mkutano wa hadhara | ||
| 26.08.2015 | CCM | 2.00 - 12.00 | Mahuninga | Kata yote | Uzinduzi wa Kampeni |
| CHADEMA | 2:00 – 4:00 | Idodi | Tungamalenga | Mkutano wa hadhara | |
| 4:00 – 6:00 | Idodi | Mapogoro | Mkutano wa hadhara | ||
| 6:00 – 7:00 | Idodi | Kitisi | Mkutano wa hadhara | ||
| 7.00 - 12.00 | Idodi | Idodi | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 6:00 – 8:00 | Kising'a | Mkungugu | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 -12:00 | Kising'a | Ilambilole | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 6:00 – 8:00 | Kihorogota | Ismani Tarafani | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 -12:00 | Kihorogota | Kihorogota | Mkutano wa hadhara | ||
| 27.08.2015 | CCM | 4:00 – 6:00 | MLENGE | Kilangililo | Mkutano wa hadhara |
| 6:00 – 8:00 | Mlenge | Kinyika | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00 – 12:00 | Mlenge | Isele | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 2:00 – 4:00 | Itunundu | Itunundu | Mkutano wa hadhara | |
| 7:00 – 12:00 | Itunundu | Kimande | Mkutano wa hadhara | ||
| 4:00 – 6:00 | Itunundu | Mbuyuni/Ndolela | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 6:00 – 8:00 | Mahuninga | Makifu | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 -12:00 | Mahuninga | Mahuninga | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 6:00 – 8:00 | Kising'a | Mkungugu | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 -12:00 | Kising'a | Ilambilole | Mkutano wa hadhara | ||
| 28.08.2015 | CCM | 4:00 – 6:00 | Mlenge | Mnazimmoja | Mkutano wa hadhara |
| 6:00 – 8:00 | Mlenge | Mbingama | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00 – 12:00 | Mlenge | Magombwe | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 7:00 – 12:00 | Migoli | Migoli | Mkutano wa hadhara | |
| ACT | 6:00 – 8:00 | Idodi | Tungamalenga | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 -12:00 | Idodi | Mapogoro | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 6:00 – 8:00 | Mahuninga | Makifu | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 -12:00 | Mahuninga | Mahuninga | Mkutano wa hadhara | ||
| 29.08.2015 | CCM | 4:00 – 6:00 | Itunundu | Mbuyuni | Mkutano wa hadhara |
| 6:00 – 8:00 | Itunundu | Kimande | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00 – 12:00 | Itunundu | Itununundu | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 7:00 – 12:00 | Ismani | Ismani Tarafani | Mkutano wa hadhara | |
| ACT | 6:00 – 8:00 | Mlowa | Mafuluto | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 -12:00 | Mlowa | Mlowa | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 6:00 – 8:00 | Idodi | Tungamalenga | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 -12:00 | Idodi | Mapogoro | Mkutano wa hadhara | ||
| 30.08.2015 | CCM | 4:00 – 6:00 | Mboliboli | Mkumbwani | Mkutano wa hadhara |
| 6:00 – 8:00 | Mboliboli | Mbugani | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00 – 12:00 | Mboliboli | Mboliboli | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 3:00 – 7:00 | Kising'a | Igingilanyi | Mkutano wa hadhara | |
| 8:00 – 12:00 | Kising'a | Kising'a | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 6:00 – 8:00 | Mlenge | Kisanga | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 -12:00 | Mlenge | Isele Pawaga | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 6:00 – 8:00 | Mlowa | Mafuluto | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 -12:00 | Mlowa | Mlowa | Mkutano wa hadhara | ||
| 31.08.2015 | CCM | 4:00 – 6:00 | Ilolompya | Mkombilenga | Mkutano wa hadhara |
| 6:00 – 8:00 | Ilolompya | Ilolompya | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00 – 12:00 | Ilolompya | Magozi | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 3:00 – 7:00 | Kising'a | Matembo | Mkutano wa hadhara | |
| 8:00 – 12:00 | Kising'a | Ilambilole | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 6:00 – 8:00 | Itunundu | Kimande | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 -12:00 | Itunundu | Itunundu | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 6:00 – 8:00 | Mlenge | Kisanga | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 -12:00 | Mlenge | Isele Pawaga | Mkutano wa hadhara | ||
| 01.09.2015 | CCM | 4:00 – 6:00 | Ilolompya | Ukwega | Mkutano wa hadhara |
| 8:00 – 12:00 | PAWAGA | Luganga | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 3:00 – 7:00 | Kising'a | Kinywang'anga | Mkutano wa hadhara | |
| 8:00 – 12:00 | Kising'a | Mkungugu | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 6:00 – 8:00 | Mboliboli | Mbugani | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 -12:00 | Mboliboli | Mboliboli | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 6:00 – 8:00 | Itunundu | Kimande | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 -12:00 | Itunundu | Itunundu | Mkutano wa hadhara | ||
| 02.09.2015 | CCM | 4:00 – 6:00 | Kising'a | Igingilanyi | Mkutano wa hadhara |
| 6:00 – 8:00 | Kising'a | Kising’a | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00 – 12:00 | Kising'a | Kinywang’anga | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 3:00 – 7:00 | Kihorogota | Mikong'wi | Mkutano wa hadhara | |
| 8:00 – 12:00 | Kihorogota | Uhominyi | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 6:00 – 8:00 | Ilolompya | Ilolompya | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 -12:00 | Ilolompya | Magozi | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 6:00 – 8:00 | Mboliboli | Mbugani | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 -12:00 | Mboliboli | Mboliboli | Mkutano wa hadhara | ||
| 03.09.2015 | CCM | 4:00 – 6:00 | Kising'a | Mkungugu | Mkutano wa hadhara |
| 6:00 – 8:00 | Kising'a | Matembo | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00 – 12:00 | Kising'a | Ilambilole | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 3:00 – 7:00 | Kihorogota | Ndolela | Mkutano wa hadhara | |
| 8:00 – 12:00 | Kihorogota | Lwang'a | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 6:00 – 8:00 | Itunundu | Mbuyuni | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 -12:00 | Itunundu | Mkombilenga | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 6:00 – 8:00 | Ilolompya | Ilolompya | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 -12:00 | Ilolompya | Magozi | Mkutano wa hadhara | ||
| 04.09.2015 | CCM | 4:00 – 6:00 | Kihorogota | Ndolela | Mkutano wa hadhara |
| 6:00 – 8:00 | Kihorogota | Uhominyi | Mkutano wa hadhara | ||
| 8:00 – 10.00 | Kihorogota | Mikongwi | Mkutano wa hadhara | ||
| 10:00- 12:00 | Kihorogota | Ngano | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 3:00 – 7:00 | Kihorogota | Ivangwa | Mkutano wa hadhara | |
| 8:00 – 12:00 | Kihorogota | Ngano | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 6:00 – 8:00 | Mlenge | Kinyika | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 -12:00 | Mlenge | Magombwe | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 6:00 – 8:00 | Itunundu | Mbuyuni | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 -12:00 | Itunundu | Mkombilenga | Mkutano wa hadhara | ||
| 05.09.2015 | CCM | 4:00 – 6:00 | Kihorogota | Ivangwa | Mkutano wa hadhara |
| 6:00 – 8:00 | Kihorogota | Isimani Tarafani | Mkutano wa hadhara | ||
| 8:00 – 10:00 | Kihorogota | Kihorogota | Mkutano wa hadhara | ||
| 10:00 – 12:00 | Kihorogota | Igula | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 3:00 – 7:00 | Kihorogota | Kihorogota | Mkutano wa hadhara | |
| 8:00 – 12:00 | Kihorogota | Igula | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 3:00 – 7:00 | Mlowa | Sasamambo | Mkutano wa hadhara | |
| 8:00 – 12:00 | Mlowa | Malinzanga | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 3:00 – 7:00 | Mlenge | Kinyika | Mkutano wa hadhara | |
| 8:00 – 12:00 | Mlenge | Magombwe | Mkutano wa hadhara | ||
| 06.09.2015 | CCM | 4:00 – 6:00 | Nyang'oro | Mawaindi | Mkutano wa hadhara |
| 6:00 – 8:00 | Nyang'oro | Ikengeza | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00 – 12:00 | Nyang'oro | Chamndindi | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 3:00 – 7:00 | Malengamakali | Isaka | Mkutano wa hadhara | |
| 8:00 – 12:00 | Malengamakali | Nyakavangala | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 3:00 – 7:00 | Idodi | Kitisi | Mkutano wa hadhara | |
| 8:00 – 12:00 | Idodi | Kitanewa | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 3:00 – 7:00 | Mlowa | Sasamambo | Mkutano wa hadhara | |
| 8:00 – 12:00 | Mlowa | Malinzanga | Mkutano wa hadhara | ||
| 07.09.2015 | CCM | 4:00 – 6:00 | Nyang'oro | Nyang’oro | Mkutano wa hadhara |
| 6:00 – 8:00 | Nyang'oro | Hollo | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00 – 12:00 | Nyang'oro | Mangawe | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 3:00 – 7:00 | Malengamakali | Makadupa | Mkutano wa hadhara | |
| 8:00 – 12:00 | Malengamakali | Mkulula | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 3:00 – 7:00 | Mahuninga | Kisilwa | Mkutano wa hadhara | |
| 8:00 – 12:00 | Mahuninga | Mahuninga | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 3:00 – 7:00 | Idodi | Kitisi | Mkutano wa hadhara | |
| 8:00 – 12:00 | Idodi | Kitanewa | Mkutano wa hadhara | ||
| 08.09.2015 | CCM | 4:00 – 6:00 | Malengamakali | Isaka | Mkutano wa hadhara |
| 6:00 – 8:00 | Malengamakali | Nyakavangala | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00 – 12:00 | Malengamakali | Mkulula | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 3:00 – 7:00 | Malengamakali | Usolanga | Mkutano wa hadhara | |
| 8:00 – 12:00 | Malengamakali | Iguluba | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 3:00 – 7:00 | Migoli | Mbweleli | Mkutano wa hadhara | |
| 8:00 – 12:00 | Migoli | Kinyali | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 3:00 – 7:00 | Mahuninga | Kisilwa | Mkutano wa hadhara | |
| 8:00 – 12:00 | Mahuninga | Mahuninga | Mkutano wa hadhara | ||
| 09.09.2015 | CCM | 4:00 – 6:00 | Malengamakali | Makadupa | Mkutano wa hadhara |
| 6:00 – 8:00 | Malengamakali | Usolanga | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00 – 12:00 | Malengamakali | Iguluba | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 3:00 – 7:00 | Nyang'oro | Holo | Mkutano wa hadhara | |
| 8:00 – 12:00 | Nyang'oro | Mangawe | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 3:00 – 7:00 | Izazi | Makuka | Mkutano wa hadhara | |
| 8:00 – 12:00 | Izazi | Mnadani | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 3:00 – 7:00 | Migoli | Mbweleli | Mkutano wa hadhara | |
| 8:00 – 12:00 | Migoli | Kinyali | Mkutano wa hadhara | ||
| 10.09.2015 | CCM | 4:00 – 6:00 | Izazi | Mabati | Mkutano wa hadhara |
| 6:00 – 8:00 | Izazi | Mnadani | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00 – 12:00 | Izazi | Makuka | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 3:00 – 7:00 | Nyang'oro | Nyang'oro | Mkutano wa hadhara | |
| 8:00 – 12:00 | Nyang'oro | Chamdindi | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 3:00 – 7:00 | Malengamakali | Makadupa | Mkutano wa hadhara | |
| 8:00 – 12:00 | Malengamakali | Iguluba | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 3:00 – 7:00 | Kihorogota | Mikong'wi | Mkutano wa hadhara | |
| 8:00 – 12:00 | Kihorogota | Ndolela | Mkutano wa hadhara | ||
| 11.09.2015 | CCM | 4:00 – 6:00 | Izazi | Izazi | Mkutano wa hadhara |
| 6:00 – 8:00 | Migoli | Kinyali | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00 – 12:00 | Migoli | Mbweleli | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 3:00 – 7:00 | Nyang'oro | Mawindi | Mkutano wa hadhara | |
| 8:00 – 12:00 | Nyang'oro | Ikengeza | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 3:00 – 7:00 | Kihorogota | Mikong'wi | Mkutano wa hadhara | |
| 8:00 – 12:00 | Kihorogota | Ndolela | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 3:00 – 7:00 | Malengamakali | Makadupa | Mkutano wa hadhara | |
| 8:00 – 12:00 | Malengamakali | Iguluba | Mkutano wa hadhara | ||
| 12.09.2015 | CCM | 4:00 – 6:00 | MIGOLI | Makatapola | Mkutano wa hadhara |
| 6:00 – 8:00 | Migoli | Chapua | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00 12:00 | Migoli | Mtera | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 3:00 – 7:00 | Migoli | Kinyali | Mkutano wa hadhara | |
| 8:00 – 12:00 | Migoli | Mbweleli | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 3:00 – 7:00 | Nyang'oro | Mawindi | Mkutano wa hadhara | |
| 8:00 – 12:00 | Nyang'oro | Ikengeza | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 3:00 – 7:00 | Nyang'oro | Holo | Mkutano wa hadhara | |
| 8:00 – 12:00 | Nyang'oro | Mangawe | Mkutano wa hadhara | ||
| 13.09.2015 | CCM | 4:00 – 8:00 | Migoli | Mwanyengo | Mkutano wa hadhara |
| 9:00 – 12:00 | Migoli | Migoli | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 3:00 – 7:00 | Migoli | Makatapora | Mkutano wa hadhara | |
| 8:00 – 12:00 | Migoli | Mwanyengo | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00 – 12:00 | Migoli | Nyegere | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 3:00 – 7:00 | Kising'a | Kinywang'anga | Mkutano wa hadhara | |
| 8:00 – 12:00 | Kising'a | Igingilanyi | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 3:00 – 7:00 | Kising'a | Matembo | Mkutano wa hadhara | |
| 8:00 – 12:00 | Kising'a | Kising'a | Mkutano wa hadhara | ||
| 14.09.2015 | CCM | 4:00 – 12:00 | MIGOLI | Maperamengi | Mkutano wa hadhara |
| CHADEMA | 4:00 – 6:00 | Migoli | Maperamengi/Mandela | Mkutano wa hadhara | |
| 6:00 – 8:00 | Migoli | Maperamengi/Mapelanga | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 8:00 – 12:00 | Kihorogota | Mkungugu | Mkutano wa hadhara | |
| 15.09.2015 | CCM | 3:00 – 5:00 | Mahuninga | Isukutwa | Mkutano wa hadhara |
| 6:00 – 8:00 | Mahuninga | Mahuninga | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00 -12:00 | Mahuninga | Mahove | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 3:00 – 5:00 | Izazi | Mabati | Mkutano wa hadhara | |
| 6:00 – 8:00 | Izazi | Mnadani | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00 -12:00 | Izazi | Izazi | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 3:00 – 7:00 | Migoli | Kinyali | Mkutano wa hadhara | |
| 8:00 – 12:00 | Migoli | Mbweleli | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 3:00 – 7:00 | Nyang'oro | Mawindi | Mkutano wa hadhara | |
| 8:00 – 12:00 | Nyang'oro | Ikengeza | Mkutano wa hadhara | ||
| 16.09.2015 | CCM | 4:00 – 6:00 | Mahuninga | Makifu | Mkutano wa hadhara |
| 6:00 – 8:00 | Mahuninga | Makambalala | Mkutano wa hadhara | ||
| 9;00 – 12:00 | Idodi | Tungamaenga | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 4:00 – 6:00 | Izazi | Kastamu | Mkutano wa hadhara | |
| 6:00 – 8:00 | Izazi | Makuka | Mkutano wa hadhara | ||
| 9;00 – 12:00 | Mboliboli | Mbugani | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 6:00 – 8:00 | Mlenge | Kinyika | Mkutano wa hadhara | |
| 9;00 – 12:00 | Mlenge | Magombwe | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 6:00 – 8:00 | Itunundu | Mbuyuni | Mkutano wa hadhara | |
| 9;00 – 12:00 | Itunundu | Mkombilenga | Mkutano wa hadhara | ||
| 17.09.2015 | CCM | 4:00 – 6:00 | Idodi | Kitisi | Mkutano wa hadhara |
| 6:00 – 8:00 | Idodi | Mapogoro | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00 – 12:00 | Idodi | Idodi | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 4:00 – 6:00 | Itunundu | Itunundu/ikolongo | Mkutano wa hadhara | |
| 6:00 – 8:00 | Itunundu | Mbuyuni/Igodikafu | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00 – 12:00 | Ilolompya | Mkombilenga | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 6:00 – 8:00 | Idodi | Msembe | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 – 12:00 | Idodi | Tungamaenga | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 6:00 – 8:00 | Mahuninga | Makifu | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 – 12:00 | Mahuninga | Mahuninga | Mkutano wa hadhara | ||
| 18.09.2015 | CCM | 4:00 – 6:00 | Mlowa | Matalawe | Mkutano wa hadhara |
| 6:30 – 8:30 | mlowa | Mafuruto | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00 – 12:00 | Mlowa | Mtakuja | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 4:00 – 6:00 | Ilolompya | Luganga | Mkutano wa hadhara | |
| 6:30 – 8:30 | Ilolompya | Ukwega/Luganga | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00 – 12:00 | Ilolompya | Magozi | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 6:00 – 8:00 | Idodi | Mapogoro | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 – 12:00 | idodi | Idodi | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 6:00 – 8:00 | Itunundu | Itunundu/ikolongo | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 – 12:00 | Itunundu | Mbuyuni/Igodikafu | Mkutano wa hadhara | ||
| 19.09.2015 | CCM | 4:00 – 6:00 | Idodi | Malinzanga | Mkutano wa hadhara |
| 6:00 – 8:00 | Mlowa | Nyamahana | Mkutano wa hadhara | ||
| Mlenge | Kisanga | Mkutano wa hadhara | |||
| CHADEMA | 4:00 – 6:00 | Ilolompya | Ilolompya | Mkutano wa hadhara | |
| 6:00 – 8:00 | Itunundu | Ndolela | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 6:00 – 8:00 | Mlolo | Mafuruto | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 – 12:00 | Mlolo | Mtakuja | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 6:00 – 8:00 | Ilolompya | Luganga | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 – 12:00 | Ilolompya | Ukwega/Luganga | Mkutano wa hadhara | ||
| 20.09.2015 | CCM | 4:00 – 6:00 | Mlenge | Kilangililo | Mkutano wa hadhara |
| 6:00 – 8:00 | Mlenge | Kinyika | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00 – 12:00 | Mlenge | Isele | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 4:00 – 6:00 | Mboliboli | Mkumbwani | Mkutano wa hadhara | |
| 6:00 – 8:00 | Itunundu | Itunundu | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 6:00 – 8:00 | Mahuninga | Makambalala | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 – 12:00 | Idodi | Tungamaenga | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 6:00 – 8:00 | Izazi | Kastamu | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 – 12:00 | Izazi | Makuka | Mkutano wa hadhara | ||
| 21.09.2015 | CCM | 4:00 – 6:00 | Mlenge | Mnazimmoja | Mkutano wa hadhara |
| 6:00 – 8:00 | Mlenge | Mbingama | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00 – 12:00 | Mlenge | Magombwe | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 4:00 – 6:00 | Mlenge | MAGWAGU | Mkutano wa hadhara | |
| 6:00 – 8:00 | Mlenge | Kisanga | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00 – 12:00 | Mlenge | Kinyika | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 6:00 – 8:00 | Malengamakali | Makadupa | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 – 12:00 | Malengamakali | Mkulula | Mkutano wa hadhara | ||
| 6:00 – 8:00 | Mahuninga | Kisilwa | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 9:00 – 12:00 | Mahuninga | Mahuninga | Mkutano wa hadhara | |
| 22.09.2015 | CCM | 4:00 – 6:00 | Itunundu | Mbuyuni | Mkutano wa hadhara |
| 6:00 – 8:00 | Itunundu | Kimande | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00 – 12:00 | Itunundu | Itununundu | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 4:00 – 6:00 | Mlenge | Mbugani | Mkutano wa hadhara | |
| 6:00 – 8:00 | Mlenge | Isele | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00 – 12:00 | Mlenge | Magombwe | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 6:00 – 8:00 | Kihorogota | Ndolela | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 – 12:00 | Kihorogota | Lwang'a | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 6:00 – 8:00 | Itunundu | Mbuyuni | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 – 12:00 | Itunundu | Mkombilenga | Mkutano wa hadhara | ||
| 23.09.2015 | CCM | 4:00 – 6:00 | Mboliboli | Mkumbwani | Mkutano wa hadhara |
| 6:00 – 8:00 | Mboliboli | Mbugani | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00 – 12:00 | Mboliboli | Mboliboli | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 4:00 – 6:00 | Mlowa | Mafuruto | Mkutano wa hadhara | |
| 6:00 – 8:00 | Mlowa | Sasamambo | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00 – 12:00 | Mlowa | Mtakuja | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 6:00 – 8:00 | Kising'a | Kising’a | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 – 12:00 | Kising'a | Kinywang’anga | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 6:00 – 8:00 | Idodi | Msembe | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 – 12:00 | Idodi | Tungamalenga | Mkutano wa hadhara | ||
| 24.09.2015 | CCM | 4:00 – 6:00 | Ilolompya | Mkombilenga | Mkutano wa hadhara |
| 6:00 – 8:00 | Ilolompya | Ilolompya | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00 – 12:00 | Ilolompya | Magozi | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 4:00 – 6:00 | Mlowa | Ipwasi | Mkutano wa hadhara | |
| 6:00 – 8:00 | Mlowa | Nyamahana | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00 – 12:00 | Mlowa | Malinzanga | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 6:00 – 8:00 | Mboliboli | Mbugani | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 – 12:00 | Mboliboli | Mboliboli | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 6:00 – 8:00 | Mlowa | Mafuruto | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 – 12:00 | Mlowa | Sasamambo | Mkutano wa hadhara | ||
| 25.09.2015 | CCM | 4:00 – 6:00 | Ilolompya | Ukwega | Mkutano wa hadhara |
| 8:00 – 12:00 | Ilolompya | Luganga | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 4:00 – 6:00 | Idodi | Idodi/mbugani | Mkutano wa hadhara | |
| 6:00 – 8:00 | Idodi | Mapogoro | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00 – 12:00 | Idodi | Kitisi | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 6:00 – 8:00 | Nyang'oro | Nyang'oro | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 – 12:00 | Nyang'oro | Chamdindi | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 6:00 – 8:00 | Malengamakali | Makadupa | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 – 12:00 | Malengamakali | Iguluba | Mkutano wa hadhara | ||
| 26.09.2015 | CCM | 4:00 – 6:00 | Kising'a | Igingilanyi | Mkutano wa hadhara |
| 6:00 – 8:00 | Kising'a | Kising’a | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00 – 12:00 | Kising'a | Kinywang’anga | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 4:00 – 6:00 | Idodi | Msembe | Mkutano wa hadhara | |
| 6:00 – 8:00 | Idodi | Tungamalenga | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 6:00 – 8:00 | Ilolompya | Luganga | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 – 12:00 | Idodi | Idodi/mbugani | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 6:00 – 8:00 | Idodi | Mapogoro | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 – 12:00 | Idodi | Kitisi | Mkutano wa hadhara | ||
| 27.09.2015 | CCM | 4:00 – 6:00 | Kising'a | Mkungugu | Mkutano wa hadhara |
| 6:00 – 8:00 | Kising'a | Matembo | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00 – 12:00 | Kising'a | Ilambilole | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 4:00 – 6:00 | Mahuninga | Isanya | Mkutano wa hadhara | |
| 6:00 – 8:00 | Mahuninga | Makambalala/Makif | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00 – 12:00 | Mahuninga | Kisirwa | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 6:00 – 8:00 | Kising'a | Kising’a | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 – 12:00 | Kising'a | Kinywang’anga | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 6:00 – 8:00 | Idodi | Msembe | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 – 12:00 | Idodi | Tungamalenga | Mkutano wa hadhara | ||
| 28.09.2015 | CCM | 4:00 – 6:00 | Kihorogota | Ndolela | Mkutano wa hadhara |
| 6:00 – 8:00 | Kihorogota | Uhominyi | Mkutano wa hadhara | ||
| 8:00 – 10.00 | Kihorogota | Mikong’wi | Mkutano wa hadhara | ||
| 10:00- 12:00 | Kihorogota | Ngano | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 4:00 – 6:00 | Mahuninga | Mlove | Mkutano wa hadhara | |
| 6:00 – 8:00 | Mahuninga | Ikwavila | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00 – 12:00 | Mahuninga | Mahuninga | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 6:00 – 8:00 | Kising'a | Matembo | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 – 12:00 | Kising'a | Ilambilole | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 6:00 – 8:00 | Mahuninga | Isanya | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 – 12:00 | Mahuninga | Makambalala/Makif | Mkutano wa hadhara | ||
| 29.09.2015 | CCM | 4:00 – 6:00 | Kihorogota | Ivangwa | Mkutano wa hadhara |
| 6:00 – 8:00 | Kihorogota | Isimani Tarafani | Mkutano wa hadhara | ||
| 8:00 – 10:00 | Kihorogota | Kihorogota | Mkutano wa hadhara | ||
| 10:00 – 12:00 | Kihorogota | Igula | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 4:00 – 6:00 | Mkutano wa hadhara | |||
| 6:00 – 8:00 | Mkutano wa hadhara | ||||
| 9:00 – 12:00 | Mkutano wa hadhara | ||||
| ACT | 6:00 – 8:00 | Kihorogota | Mikong’wi | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 – 12:00 | Kihorogota | Ngano | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 6:00 – 8:00 | Mahuninga | Mlove | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 – 12:00 | Mahuninga | Ikwavila | Mkutano wa hadhara | ||
| 30.09.2015 | CCM | 4:00 – 6:00 | Nyang'oro | Mawaindi | Mkutano wa hadhara |
| 6:00 – 8:00 | Nyang'oro | Ikengeza | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00 – 12:00 | Nyang'oro | Chamndindi | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 3:00-6:00 | Kising'a | Igingilanyi | Mkutano wa hadhara | |
| 7:00-9:00 | Kising'a | Kising'a | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:30-12:00 | Kising'a | matembo | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 6:00 – 8:00 | Kihorogota | Ivangwa | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 – 12:00 | Kihorogota | Isimani Tarafani | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 6:00 – 8:00 | Kihorogota | Kihorogota | Mkutano wa hadhara | |
| 9:00 – 12:00 | Kihorogota | Igula | Mkutano wa hadhara | ||
| 01.10.2015 | CCM | 3:00 – 4:30 | Mahuninga | Kisilwa | Mkutano wa hadhara |
| 4:30 – 6:00 | Mahuninga | Mahuninga | Mkutano wa hadhara | ||
| 6:15– 7:30 | Mahuninga | Mahove | Mkutano wa hadhara | ||
| 8:00 – 10:00 | Mahuninga | Makifu | Mkutano wa hadhara | ||
| 10:00 – 12:00 | Mahuninga | Makambalala | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 3:00-6:00 | Kising'a | ilambilole | Mkutano wa hadhara | |
| 7:00-9:00 | Kising'a | kinywang'anga | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:30-12:00 | Kising'a | Mkungugu | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 7:00-9:00 | Nyang'oro | Ikengeza | Mkutano wa hadhara | |
| 9:30-12:00 | Nyang'oro | Chamndindi | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 7:00-9:00 | Kising'a | Igingilanyi | Mkutano wa hadhara | |
| 9:30-12:00 | Kising'a | Kising'a | Mkutano wa hadhara | ||
| 02.10.2015 | CCM | 2:30-4:00 | Idodi | Kitisi | Mkutano wa hadhara |
| 4:30-5:30 | Idodi | Kitanewa | Mkutano wa hadhara | ||
| 5:30-7:00 | Idodi | Tungamalenga | Mkutano wa hadhara | ||
| 7:00 -9:00 | Idodi | Mapogolo | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:15-10:00 | Idodi | Mbuyuni | Mkutano wa hadhara | ||
| 10:00-12:00 | Idodi | Idodi | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 3:00-6:00 | Kihorogota | Ndolela | Mkutano wa hadhara | |
| 7:00-9:00 | Kihorogota | Uhominyi | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:30-12:00 | Kihorogota | Mikong'wi | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 7:00-9:00 | Mahuninga | Makifu | Mkutano wa hadhara | |
| 9:30-12:00 | Mahuninga | Makambalala | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 7:00-9:00 | Kising'a | ilambilole | Mkutano wa hadhara | |
| 9:30-12:00 | Kising'a | kinywang'anga | Mkutano wa hadhara | ||
| 03.10 .2015 | CCM | 2:30-4:30 | Mlowa | Nyamahana | Mkutano wa hadhara |
| 5:30-6:30 | Mlowa | Matalawe | Mkutano wa hadhara | ||
| 7:00-8:30 | Mlowa | Mafuruto | Mkutano wa hadhara | ||
| 8:30-9:30 | Mlowa | Sasamambo | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:40-10:30 | Mlowa | Mtakuja | Mkutano wa hadhara | ||
| 10:30-12:00 | Mlowa | Malinzanga.. | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 3:00-6:00 | Kihorogota | Ngano | Mkutano wa hadhara | |
| 7:00-9:00 | Kihorogota | Ivangwa | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:30-12:00 | Kihorogota | Ismani/Lwang'a | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 7:00-9:00 | Idodi | Mbuyuni | Mkutano wa hadhara | |
| 9:30-12:00 | Idodi | Idodi | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 7:00-9:00 | Kihorogota | Ndolela | Mkutano wa hadhara | |
| 9:30-12:00 | Kihorogota | Uhominyi | Mkutano wa hadhara | ||
| 04.10.2015 | CCM | 7:00-8:00 | Kihorogota | Ndolela | Mkutano wa hadhara |
| 8:00-9:00 | Kihorogota | Uhominyi | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:30-10:30 | Kihorogota | Mikongwi | Mkutano wa hadhara | ||
| 10:40-12:00 | Kihorogota | Ngano | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 3:00-6:00 | Kihorogota | Kihorogota | Mkutano wa hadhara | |
| 7:00-9:00 | Kihorogota | Igula | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:30-12:00 | Malengamakali | Iguluba | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 2.00-6.00 | Mlowa | Mtakuja | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Mlowa | Malinzanga.. | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 2.00-6.00 | Kihorogota | Ngano | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Kihorogota | Ivangwa | Mkutano wa hadhara | ||
| 05.10.2015 | CCM | 3:00-4:30 | Kihorogota | Ivangwa | Mkutano wa hadhara |
| 5:00 -7:00 | Kihorogota | Kihorogota | Mkutano wa hadhara | ||
| 7:30-9:30 | Kihorogota | Igula | Mkutano wa hadhara | ||
| 10:00-12:00 | Kihorogota | Isimani Tarafani | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 3:00-6:00 | Malengamakali | Nyakavangala | Mkutano wa hadhara | |
| 7:00-9:00 | Malengamakali | Isaka | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:30-12:00 | Malengamakali | Makadupa | Mkutano wa hadhara | ||
| 2.00-6.00 | Kihorogota | Mikongwi | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 7.00-12.00 | Kihorogota | Ngano | Mkutano wa hadhara | |
| 2.00-6.00 | Kihorogota | Kihorogota | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 7.00-12.00 | Kihorogota | Igula | Mkutano wa hadhara | |
| 06.10.2015 | CCM | 2:30-4:00 | Malengamakali | Isaka | Mkutano wa hadhara |
| 4:40-5:30 | Malengamakali | Nyakavangala | Mkutano wa hadhara | ||
| 5:40-7:00 | Malengamakali | Makadupa | Mkutano wa hadhara | ||
| 7:00-9:00 | Malengamakali | Mkurura | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:15-10:15 | Malengamakali | Usolanga | Mkutano wa hadhara | ||
| 10:30-12:00 | Malengamakali | Iguruba | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 3:00-6:00 | Malengamakali | mkulula | Mkutano wa hadhara | |
| 7:00-9:00 | Malengamakali | Usolanga | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 2.00-6.00 | Kihorogota | Igula | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Kihorogota | Isimani Tarafani | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 2.00-6.00 | Malengamakali | Nyakavangala | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Malengamakali | Isaka | Mkutano wa hadhara | ||
| 07.10.2015 | CCM | 3:00-6:00 | Itununundu | Mbuyuni | Mkutano wa hadhara |
| 7:00-9:00 | Itununundu | Kimande | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:30-12:00 | Itununundu | Itunundu | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 3:00-6:00 | Nyang'oro | Holo | Mkutano wa hadhara | |
| 7:00-9:00 | Nyang'oro | Mangawe | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:30-12:00 | Nyang'oro | Nyang'oro | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 2.00-6.00 | Malengamakali | Usolanga | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Malengamakali | Iguruba | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 2.00-6.00 | Malengamakali | mkulula | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Malengamakali | Usolanga | Mkutano wa hadhara | ||
| 08.10.2015 | CCM | 3:00-6:00 | Mboliboli | Mkumbwani | Mkutano wa hadhara |
| 7:00-9:00 | Mboliboli | Mbugani | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:30-12:00 | Mboliboli | Mboliboli | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 3:00-6:00 | Nyang'oro | Chamdindi | Mkutano wa hadhara | |
| 7:00-9:00 | Nyang'oro | Ikengeza | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:30-12:00 | Nyang'oro | Mawindi | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 2.00-6.00 | Kihorogota | Kihorogota | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Kihorogota | Ismani Tarafani | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 2.00-6.00 | Izazi | Izazi | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Izazi | Mnadani | Mkutano wa hadhara | ||
| 09.10.2015 | CCM | 2.30 -4.00 | Mlenge | Magombwe | Mkutano wa hadhara |
| 4.30 -5.30 | Mlenge | Mnazi moja | Mkutano wa hadhara | ||
| 5.40 -6.30 | Mlenge | Mbingama | Mkutano wa hadhara | ||
| 7.00 - 8.00 | Mlenge | Isele | Mkutano wa hadhara | ||
| 8.00 -9.30 | Mlenge | Kinyika | Mkutano wa hadhara | ||
| 9.30 - 10.20 | Mlenge | Kilangililo | Mkutano wa hadhara | ||
| 10.30 -12.00 | Mlenge | Kisanga | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 2.00-6.00 | Itunundu | Kimande | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Itunundu | Itunundu | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 2.00-6.00 | Ilolompya | Luganga | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Ilolompya | Ilolompya | Mkutano wa hadhara | ||
| 09.10.2015 | CHADEMA | 3:00-6:00 | Migoli | Kinyali | Mkutano wa hadhara |
| 7:00-9:00 | Migoli | Mbweleli | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:30-12:00 | Migoli | Makatapola | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 2.00-6.00 | Kising'a | Kising'a | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Kising'a | Ilambilole | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 2.00-6.00 | Nyang'oro | Nyang'oro | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Nyang'oro | Mangawe | Mkutano wa hadhara | ||
| 10.10.2015 | CCM | 3.00-4.30 | Ilolompya | Luganga | Mkutano wa hadhara |
| 4.40-5.40 | Ilolompya | Ukwega | Mkutano wa hadhara | ||
| 6.00-7.30 | Ilolompya | Magozi | Mkutano wa hadhara | ||
| 8.00-9.30 | Ilolompya | Mkombilenga | Mkutano wa hadhara | ||
| 10.00-12.00 | Ilolompya | Ilolompya | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 2.00-6.00 | Migoli | Mtera/Migoli | Mkutano wa hadhara | |
| ACT | 2.00-6.00 | Malengamakali | Usolanga | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Malengamakali | Mkulula | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 2.00-6.00 | Migoli | Migoli | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Migoli | Mtera | Mkutano wa hadhara | ||
| 11.10.2015 | CCM | 8.00-12.00 | Migoli | Maperamengi | Mkutano wa hadhara |
| CHADEMA | 2.00-6.00 | Migoli | Maperamengi | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-9.00 | Izazi | Mabati | Mkutano wa hadhara | ||
| 10.00-12.00 | Izazi | Mnadani | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 2.00-6.00 | Mlowa | Malizanga/Mlowa | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Mlowa | Nyamahana | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 2.00-6.00 | Idodi | Idodi | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Idodi | Kitisi | Mkutano wa hadhara | ||
| 12.10.2015 | CCM | 2.30-4.-00 | Migoli | Kinyali | Mkutano wa hadhara |
| 4.30-5.30 | Migoli | Mbweleli | Mkutano wa hadhara | ||
| 5.40-6.30 | Migoli | Chapuya | Mkutano wa hadhara | ||
| 7.00-8.00 | Migoli | Makatapora | Mkutano wa hadhara | ||
| 8.00-9.00 | Migoli | Mtera | Mkutano wa hadhara | ||
| 9.30-10.20 | Migoli | Mwanyengo | Mkutano wa hadhara | ||
| 10.30-12.00 | Migoli | Migoli | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 2.00-6.00 | Izazi | Izazi | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Izazi | Makuka | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 2.00-6.00 | Idodi | Tungamalenga | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Idodi | Mapogoro | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 2.00-6.00 | Mboliboli | Mboliboli | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Mboliboli | Mkumbwani | Mkutano wa hadhara | ||
| 13.10.2015 | CCM | 2:30-4:00 | Kising'a | Igingilanyi | Mkutano wa hadhara |
| 4:00-5:30 | Kising'a | Kising’a | Mkutano wa hadhara | ||
| 6:00-7:00 | Kising'a | Kinywang’anga | Mkutano wa hadhara | ||
| 7:30-9:00 | Kising'a | Mkungugu | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00-1-:00 | Kising'a | Matembo | Mkutano wa hadhara | ||
| 10:15-12:00 | Kising'a | Ilambilole | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 2.00-6.00 | Mboliboli | Mkumbwani | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Mboliboli | Mboliboli | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 2.00-6.00 | Ilolompya | Magozi | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Ilolompya | Ilolompya | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 2.00-6.00 | Itunundu | Kimande | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Itunundu | Itunundu | Mkutano wa hadhara | ||
| 14.10.2015 | CCM | MAHUNINGA | Izazi | Mabati | Mkutano wa hadhara |
| 4:30-6:00 | Izazi | Mnadani | Mkutano wa hadhara | ||
| 6:30-9:00 | Izazi | Makuka | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:30-12:00 | Izazi | Izazi | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 2.00-6.00 | Ilolompya | Luganga | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-9.00 | Ilolompya | Magozi | Mkutano wa hadhara | ||
| 10.00-12.00 | Ilolompya | Ilolompya | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 2.00-6.00 | Migoli | Kinyali | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Migoli | Maperamengi | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 2.00-6.00 | Kising'a | Matembo | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Kising'a | Mkungugu | Mkutano wa hadhara | ||
| 15.10.2015 | CCM | 2:30-4:00 | Nyang'oro | Mawindi | Mkutano wa hadhara |
| 4:00-5:30 | Nyang'oro | Ikengeza | Mkutano wa hadhara | ||
| 5:40-7:00 | Nyang'oro | Chamndindi | Mkutano wa hadhara | ||
| 7:00-8:30 | Nyang'oro | Nyang’oro | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00-10:00 | Nyang'oro | Hollo | Mkutano wa hadhara | ||
| 10:30-12:00 | Nyang'oro | Mangawe | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 2.00-6.00 | Ilolompya | Mkombilenga | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-9.00 | Itunundu | Ndolela/Mbugani | Mkutano wa hadhara | ||
| 10.00-12.00 | Itunundu | Kimande | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 2.00-6.00 | Izazi | Makuka | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Izazi | Izazi | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 2.00-6.00 | Ilolompya | Luganga | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Ilolompya | Magozi | Mkutano wa hadhara | ||
| 16.10.2015 | CCM | 3:00-6:00 | Mboliboli | Mkumbwani | Mkutano wa hadhara |
| 7:00-9:00 | Mboliboli | Mbugani | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:30-12:00 | Mboliboli | Mboliboli | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 2.00-6.00 | Itunundu | Itunundu | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-9.00 | Mlenge | Kisanga | Mkutano wa hadhara | ||
| 10.00 -12.00 | Mlenge | Kinyika | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 2.00-6.00 | Nyang'oro | Hollo | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Nyang'oro | Mangawe | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 2.00-6.00 | Ilolompya | Mkombilenga | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Itunundu | Ndolela/Mbugani | Mkutano wa hadhara | ||
| 17.10.2015 | CCM | 3:00-6:00 | Itunundu | Mbuyuni | Mkutano wa hadhara |
| 7:00-9:00 | Itunundu | Kimande | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:30-12:00 | Itunundu | Itunundu | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 2.00-6.00 | Mlenge | Isele | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-9.00 | Mlenge | Magombwe | Mkutano wa hadhara | ||
| 10.00-12.00 | Mlowa | Mafuruto | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 2.00-6.00 | Mboliboli | Mboliboli | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Itunundu | Itunundu | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 2.00-6.00 | Mlenge | Kisanga | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Mlenge | Kinyika | Mkutano wa hadhara | ||
| 18.10.2015 | CCM | 3:00- 4:30 | Ilolompya | Luganga | Mkutano wa hadhara |
| 4:40 -5:40 | Ilolompya | Ukwega | Mkutano wa hadhara | ||
| 6:00 -7:30 | Ilolompya | Magozi | Mkutano wa hadhara | ||
| 8:00-9:30 | Ilolompya | Mkombilenga | Mkutano wa hadhara | ||
| 10”00-12:00 | Ilolompya | Ilolompya | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 2.00-6.00 | Mlowa | Nyamahana | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Mlowa | Malizanga/Mlowa | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 2.00-6.00 | Itunundu | Kimande | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Itunundu | Itunundu | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 2.00-6.00 | Mlenge | Isele | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Mlenge | Magombwe | Mkutano wa hadhara | ||
| 19.10.2015 | CCM | 2.00 - 12 | Izazi | Mabati | Mkutano wa hadhara |
| 4:30-6:00 | Izazi | Mnadani | Mkutano wa hadhara | ||
| 6:30-9:00 | Izazi | Makuka | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:30-12:00 | Izazi | Izazi | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 2.00-6.00 | Idodi | Idodi | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-9.00 | Idodi | Kitisi | Mkutano wa hadhara | ||
| 10.00-12.00 | Idodi | Mapogoro | Mkutano wa hadhara | ||
| 2.00-6.00 | Ilolompya | Mkombilenga | Mkutano wa hadhara | ||
| 7.00-12.00 | Ilolompya | Ilolompya | Mkutano wa hadhara | ||
| 2.00-6.00 | Mlowa | Nyamahana | Mkutano wa hadhara | ||
| 7.00-12.00 | Mlowa | Malizanga/Mlowa | Mkutano wa hadhara | ||
| 20.10.2015 | CCM | 2:30 -4:00 | Mlenge | Magombwe | Mkutano wa hadhara |
| 4:30 -5:30 | Mlenge | Mnazimmoja | Mkutano wa hadhara | ||
| 5:40 -6:30 | Mlenge | Mbingama | Mkutano wa hadhara | ||
| 7:00 -8:00 | Mlenge | Isele | Mkutano wa hadhara | ||
| 8:00 -9:30 | Mlenge | Kinyika | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:30 -10:20 | Mlenge | Kilangililo | Mkutano wa hadhara | ||
| 10:30 -12:00 | Mlenge | Kisanga | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 2.00-6.00 | Mahuninga | Kisilwa | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-9.00 | Mahuninga | Mahuninga | Mkutano wa hadhara | ||
| 10.00-12.00 | Mahuninga | Makifu | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 2.00-6.00 | Izazi | Makuka | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Izazi | Izazi | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 2.00-6.00 | Idodi | Idodi | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Idodi | Kitisi | Mkutano wa hadhara | ||
| 21.10.2015 | CCM | 2;30-4:00 | Migoli | Kinyali | Mkutano wa hadhara |
| 4:30-5:30 | Migoli | Mbweleli | Mkutano wa hadhara | ||
| 5;40-6:30 | Migoli | Chapuya | Mkutano wa hadhara | ||
| 7:00-8;00 | Migoli | Makatapola | Mkutano wa hadhara | ||
| 8:00-9:00 | Migoli | Mtela | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:30-10:20 | Migoli | Mwanyengo | Mkutano wa hadhara | ||
| 10:30-12:00 | Migoli | Migoli | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 2.00-6.00 | Idodi | Tungamakali | Mkutano wa hadhara | |
| ACT | 2.00-6.00 | Mlenge | Kilangililo | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Mlenge | Kisanga | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 2.00-6.00 | Mahuninga | Kisilwa | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Mahuninga | Mahuninga | Mkutano wa hadhara | ||
| 22.10.2015 | CCM | 2:30-4:00 | Kising'a | Igingilanyi | Mkutano wa hadhara |
| 4:00-5:30 | Kising'a | Kising’a | Mkutano wa hadhara | ||
| 6:00-7:00 | Kising'a | Kinywang’anga | Mkutano wa hadhara | ||
| 7:30-9:00 | Kising'a | Mkungugu | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00-1-:00 | Kising'a | Matembo | Mkutano wa hadhara | ||
| 10:15-12:00 | Kising'a | Ilambilole | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 2.00-6.00 | Kising'a | Ilambilole | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-9.00 | Kising'a | Mkungugu | Mkutano wa hadhara | ||
| 10.00-12.00 | Kihorogota | ISMANI TARAFANI | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 2.00-6.00 | Migoli | Mwanyengo | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Migoli | Migoli | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 2.00-6.00 | Idodi | Tungamakali | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Idodi | Kitisi | Mkutano wa hadhara | ||
| 23.10.2015 | CCM | 2:30-4:00 | Idodi | Kitisi | Mkutano wa hadhara |
| 4:30-5:30 | Idodi | Kitanewa | Mkutano wa hadhara | ||
| 5:30-7:00 | Idodi | Tungamalenga | Mkutano wa hadhara | ||
| 7:00 -9:00 | Idodi | Mapogolo | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:15-10:00 | Idodi | Mbuyuni | Mkutano wa hadhara | ||
| 10:00-12:00 | Idodi | Idodi | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 2.00-6.00 | Malengamakali | Mkulula | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-9.00 | Nyang'oro | Mangawe | Mkutano wa hadhara | ||
| 10.00-12.00 | Nyang'oro | Nyang'oro | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 2.00-6.00 | Kising'a | Matembo | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Kising'a | Ilambilole | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 2.00-6.00 | Kising'a | Ilambilole | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Kising'a | Mkungugu | Mkutano wa hadhara | ||
| 24.10.2015 | CCM | 2:30-4:00 | Nyang'oro | Mawindi | Mkutano wa hadhara |
| 4:00-5:30 | Nyang'oro | Ikengeza | Mkutano wa hadhara | ||
| 5:40-7:00 | Nyang'oro | Chamndindi | Mkutano wa hadhara | ||
| 7:00-8:30 | Nyang'oro | Nyang’oro | Mkutano wa hadhara | ||
| 9:00-10:00 | Nyang'oro | Hollo | Mkutano wa hadhara | ||
| 10:30-12:00 | Nyang'oro | Mangawe | Mkutano wa hadhara | ||
| CHADEMA | 2.00-6.00 | Mboliboli | Mbugani | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-8.00 | Izazi | Makuka | Mkutano wa hadhara | ||
| 8.00-9.00 | Izazi | Izazi | Mkutano wa hadhara | ||
| 10.00-12.00 | Migoli | Migoli | Mkutano wa hadhara | ||
| ACT | 2.00-6.00 | Idodi | Mbuyuni | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Idodi | Idodi | Mkutano wa hadhara | ||
| CHAUSTA | 2.00-6.00 | Malengamakali | Mkulula | Mkutano wa hadhara | |
| 7.00-12.00 | Nyang'oro | Mangawe | Mkutano wa hadhara | ||
Subscribe to:
Posts (Atom)